Rating
Tags
Distance

Mtandao Tigo/YAS
YAS ni kampuni ya mtandao wa huduma za simu awali ilijulikana kwa chapa ya Tigo. Chapa ya YAS imeziduliwa rasmi tarehe 26 Novemba 2024. Kampuni hiyo wakati inaingia nchini Tanzania miaka takribani 30 iliopita ilianza kwa jina la Mobitel kabla ya kui...

Mtandao Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania ni moja ya kampuni kubwa za mawasiliano nchini Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1994 kwa ushirikiano kati ya Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kutoka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone inamiliki asilimia 65 ya kampuni na ina jukumu l...

Mtandao wa Airtel Tanzania
Airtel Tanzania ilizinduliwa mnamo Oktoba 2001 na ni kampuni ya mawasiliano ya simu inayotoa huduma za mawasiliano nchini Tanzania. Kampuni hii inatoa bidhaa mbalimbali katika sekta ya mawasiliano, ikiwa ni pamoja na huduma za simu za mkononi, intane...

Mtandao Halotel Tanzania
Halotel ni moja ya kampuni za mawasiliano zinazotoa huduma za simu na intaneti nchini Tanzania. Kampuni hii inaendeshwa chini ya umiliki wa Viettel Group kutoka Vietnam. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2015, Halotel imekuwa ikijitanua kwa kasi katika...

Mtandao wa simu TTCL
Shirika la Mawasiliano la Tanzania ( TTCL ), ni kampuni ya mawasiliano ya simu ya zamani na kubwa zaidi nchini Tanzania. Kampuni hiyo inatoka kwa Shirika la zamani la Posta na Mawasiliano la Tanzania mnamo 1993. TTCL ilikuwa inamilikiwa kabisa na Ser...